Karibu Benki ya Maendeleo TIB

Mikopo ya Sekta ya Huduma

Ushiriki wa Benki ya Maendeleo TIB katika sekta ya huduma unalenga maeneo yafuatayo:

  1. Utalii
  2. Majengo ya biashara (Commercial Real Estate)
  3. Sanaa na utamaduni
  4. Afya
  5. Elimu

Sifa za mkopo

  1. Mikopo hii hutolewa kwa ajili ya kuchachusha maendeleo ya sekta ya huduma; mikopo hutolewa kwa miradi mipya inayoanza na ile inayoendelea.
  2. Mikopo kwa ajili ya mtaji wa uwekezaji inajumuisha (i.e. ujenzi wa majengo ya biashara, ununuzi wa samani).
  3. Kipindi cha rehema (Grace period) hii hutolewa kulingana na aina ya mradi.
  4. Mikopo hii ni ya kipindi cha muda mrefu wa marejesho unaofikia mpaka miaka ishirini (20).
  5. Mkopaji atachangia kiasi cha 40% ya gharama za mradi.
  6. Mikopo hii ni ya riba nafuu.

Faida za mkopo

  1. Marejesho yatategemea na msimu, aina ya uwekezaji na mapato.
  2. Inawezesha taasisi za umma kufikia malengo ya mradi kwa haraka.
  3. Inasaidia sekta za umma kuwekeza katika upanuzi wa miradi na uanzishaji wa miradi mpya
  4. Kuhamasisha maendeleo ya biashara na uchumi ili kuongeza tija kwa maendeleo ya Kitaifa.
  5. Hupatikanaji wa ushauri wa kitaalamu wakati wa maandalizi ya mradi  kwa taasisi za umma.

Mikopo ya Sekta ya Huduma

blog