Karibu Benki ya Maendeleo TIB



Maelezo Kuhusu tukio lakurejesha kwa jamaa :
Mradi :   Kusaidia Serikali katika kupambana na ugonjwa wa UVIKO-19

Benki ya Maendeleo TIB ilichangia mashine 25 za kuosha mikono ili kuunga mkono Serikali katika kupambana na ugonjwa wa UVIKO-19.