UJUMUISHI WA KIFEDHA KWA MAENDELEO ENDELEVU
Mnamo tarehe 4 Machi 2025, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya TIB, Bi. Lilian Mbassy, alihudhuria Mkutano wa Tatu wa Kujumuisha Kifedha ulioandaliwa na Chama cha Benki za Tanzania (TBA).
Pia aliongoza mjadala wa ngazi ya juu kuhusu "Sababu za Ushirikiano katika kupanua Ujumuishi wa Kifedha nchini Tanzania"