Siku ya Wakaguzi wa Ndani Kimataifa
Tarehe 20/05/2022, Benki ya maendeleo TIB ilisherekea siku ya wakuguzi wa ndani kimataifa. Kitengo cha ukaguzi wa ndani cha benki kiliitumia siku hiyo kuelezea umuhimu kitengo hicho kwa benki katika kuisaidia TIB kuyafikia malengo yake pamoja na kukidhi matakwa ya sheria za kibenki.